Rais Dkt. Mwinyi ameupongeza uongozi wa Jimbo la Kwahani kwa kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa vitendo.

STATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY  Zanzibar                                                                                                 18.09.2021 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi wa Jimbo la Kwahani kwa kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa vitendo. Rais Dk. Mwinyi alitoa pongezi hizo leo